Wednesday, 24 June 2020

ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA JIMBO LA RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kijijini hapo, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment