Pichani ni Eneo la Muda la wagonjwa wa Covid 19 kwenye hospital ya Mkoa ya Mount Meru kama lilivyokutwa na kamera ya Matukio jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na wadau wakati alipotembelea Ukarabati wa Jengo la Magonjwa ya Milipuko kwenye Hospital ya Mkoa ya Mount Meru picha na Ahmed Mahmoud Arusha.

Fundi akiendelea na ukarabati wa Jengo la isolation kwenye Hospital ya mkoa wa Arusha Mount Meru kama walaivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akifuatilia kwa ukaribu ukarabati wa Jengo la isolation kwenye Hospital ya mkoa ya Mount Meru mwishoni mwa wiki Mara baada ya kupokea Msaada wa vifaa vya kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona

Viongozi wa kamati ya Ulinzi na usalama wakifuatilia kuona Ukarabati wa Jengo la isolation kwenye Hospital ya mkoa ya Mount Meru jijini Arusha mwishoni mwa wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Wadau mbali mbali wakiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati wakikagua maendeleo ya ukarabati wa Jengo la isolation kwa ajili ya Magonjwa ya milipuko ikiwemo Ugonjwa wa Covid 19

Ujenzi ukiendelea fundi wa Kike akiendelea na ukarabati kama alivyokutwa na Kamera ya Matukio kwenye ziara ya kutembelea wodi ya Magonjwa ya milipuko kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru jijini Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akikagua eneo la muda kwa ajili ya wagonjwa wa Covid 19 kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru mwishoni mwa wiki jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Sehemu ya eneo la Wadi kwa ajili ya wagonjwa wa Covid 19

Gambo akipitia eneo la Wadi za muda za wagonjwa wa Covid 19 kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Arusha Omary Chande akiwa na Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega wakibadilishana mawili matatu baada ya kukagua wodi za muda za Magonjwa ya milipuko kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru

Wadau wameelezwa kusaidia umaliziaji huu ili mkoa uwe na eneo la wodi hii ambayo imefikia asilimia 85 na kubakia paa la njia za kutoka ofisi za Madaktari na manesi sanjari na vitanda ili kuwafikia wagonjwa.

Muonekano wa ndani wa eneo hilo

Choo kwa ajili ya watu wenye Ulemavu 

Sehemu ya vitanda kwenye wodi ya insolation

Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Arusha wakibadilishana mawili matatu Mara baada ya kukagua Ujenzi wa wodi ya muda ya magonjwa ya milipuko ikiwemo Covid 19

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Mara baada ya kumaliza kutembelea na kukagua wodi ya muda yq Magonjwa ya milipuko mwishoni mwa wikipichq zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Share To:

Arusha Newsroom

Post A Comment: