Friday, 24 January 2020

LIVE: RAIS MAGUFULI Akutana na Watendaji wa CCM, JNICC DAR!


Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 24, 2020 anakutana na viongozi na watendaji wote wa CCM na Jumuiya zake ngazi ya Mikoa na Wilaya katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment