TANZIA Msanii kutoka kundi la THE MAFIK aitwaye MBALAMWEZI (pichani) , amefariki dunia kutokana na majeraha ambayo yanahisiwa kuwa amepigwa. Uchunguzi zaidi unaendelea kuhusu kifo chake.

#MsumbaNewsBlogUpdates
Share To:

msumbanews

Post A Comment: