Saturday, 10 August 2019

Lori la Mafuta Laripuka Na Kuua Idadi Kubwa ya Watu Morogoro

Idadi kubwa ya Watu wanasadikiwa kufariki Duania  baada ya kuungua na moto kufuatia Lori la mafuta kulipuka eneo la Msamvu mjini Morogoro. 

Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wakiiba mafuta kwenye Lori hilo ambalo lilipata ajali majira ya saa 1:00 Asubuhi leo Aug 10.

Endelea kuwa nasi kwa habari kamili