Wednesday, 10 July 2019

ZIARA YA WAZIRI MKUU NCHINI MISRI

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watanzania waishiyo nchini Egypt, katika hoteli ya Almasa, mjini CairoJulai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea picha ya Rais Magufuli, iliyochorwa na Binti wa Dereva wa Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, Hadeer Mohamed, kwenye mkutano na Watanzania waishiyo nchini Egypt, uliyofanyika katika hoteli ya Almasa, mjini CairoJulai 9.2019. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Misri, Meja Jenerali Mstaafu, Issa Suleiman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini MisriJulai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa ya ngozi, wakati alipotembelea kiwanda kikubwa cha ngozi cha Robbiki, kilichopo katika mkoa wa Sharkia, nchini MisriJulai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye boti,wakati alipotembelea mfereji wa Suez Canal, katika mji wa Ismailia, Misri Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye boti,wakati alipotembelea mfereji wa Suez Canal, katika mji wa Ismailia, Misri Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini MisriJulai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment