Thursday, 4 July 2019

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DR JOHN MAGUFULI. NCHINI RWANDA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda  Paul Kagame mjini Kigali aliko mwakilisha Rais Dkt . John Pombe  Magufuli  katika sherehe za miaka 25 ya Ukombozi wa Nchi hiyo .Julai 4/2019 anayeshudia ni Rais wa Sierra  leon Mh Mada Bio
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na Viongozi wenzake katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Askari wa JWTZ wakiwa katika sherehe ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda

No comments:

Post a Comment