Wednesday, 3 July 2019

WAZIRI HASUNGA ALIVYOSHIRIKI SABASABA

 Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akionyeshwa moja ya virutubisho na mjasiriamali kutoka Vijimambo Shop Group Bi Stevina Mgimbe wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘sabasaba’ yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Shirika la mawasiliano (TTCL) wakati wa Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘sabasaba’ yanayofanyika Jijini Dar es Salaam. Wengine pichani Maafisa masoko wa TTCL Bi Cecilia Mpanyu na Julieth Kimario
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘sabasaba’ yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment