Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa. Akabidhiwa Simu ya TTCL na Mkurugenzi Mkuu wa Shrika la Simu Tanzania (TTCL), Bwana Waziri Kindamba.leo Julai /1/2019 Jijini Dar es salaam ,wanao shuhudia kushoto kwa Waziri Mkuu. ni Meneja wa TTCL Mkoa wa Kinondoni Bibi Janeth Maeda. na kulia mwisho ni Meneja Huduma wa TTCL Kinondoni Bwana Salim Msalilwa.
Share To:

Post A Comment: