Afisa Mwandamizi wa Malipo, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma,(PSSSF), Bi.Nyangi Masalu (kulia), akimuhudumia aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuendeleza Bisahara Nchini (Tan Trade), ambaye sasa ni Mstaafu na Mwanachama wa PSSSF, Bi.Jacqueline Mneney Maleko (kushoto), alipofika kwenye banda namba 13 la PSSSF/NSSSF viwanja vya Sabasaba barabaar ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yanafunguliwa rasmi hii leo Julai 2, 2019.
Aisa Matekelezo Mwandamizi wa PSSSF, Bw. Donald Peter Maeda (kulia), akimsikiliza Mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko kupatiwa huduma.
 Mkurugenzi wa banda la PSSSF Bi.Eunice Chiume (kushoto), akimsikiliza Mwanachama wa Mfuko huo, aliyetembelea banda hilo kupatiwa huduma.
 Buonekano wa banda namba 13 la PSSSF.
 Afisa Matekelezo PSSSF, Bi. Getrude Athanas (kulia), akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko aliyefka yeye na familia yake kwenye banda la PSSSF ambalo linatumika kwa ushirikiano na NSSSF.
 Afisa Matekelezo PSSSF, Bi. Getrude Athanas (kulia), akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko aliyefka yeye na familia yake kwenye banda la PSSSF ambalo linatumika kwa ushirikiano na NSSSF.
Afisa Uhusiano Mwandamizi PSSSF, Bw. Abdul Njaidi (aliyekaa), kwa kushirikiana na Afisa Mafao, wa Mfuko Bw. Salvatory Matemu kutafuta taarifa za michango ya Mwanachama (hayupo pichani).

Afisa Uhusiano Mwandamizi PSSSF, Bw. Abdul Njaidi (kushoto) na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Sebera Fulgence wakibadilishana mawazo wakati Bw. Sebera ambaye ni Mwanachama wa PSSSF alipotembelea banda la Mfuko kupata taarifa za michango yake.
Share To:

Post A Comment: