Monday, 29 July 2019

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA BIBI SALMA KALENJE WILAYANI RUANGWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee wakati aliposhiriki katika mazishi ya Bibi Salima Yusuf Kalanje kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Julai 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kaburini wakati aliposhirika katika mazishi ya Bibi Salima  Yusuf Kalanje kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Julai 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirikiana na waombolezaji kubebe jeneza katika mazishi ya Bibi Salima Yusuf Kalanje yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Julai 29, 2019. Wapili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment