Askari Mpakani mwa Tanzania na Kenya kwenye eneo la Namanga akimwekea kwenye mikono Dawa ya kusafishia mikono msafiri aliyekuwa akipita katika mpaka huo wakati wa   zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo tarehe  13, Juni 2019.

Daktari katika mpaka wa Tanzania na Kenya kwenye eneo la Namanga, Anna Anthony, akiwapima wasafiri wanaopita katika mpaka huo, wakati wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  tarehe 13 Juni, 2019.

Mtaalamu wa Afya akimhudumia  mmoja wa wasafiri waliokuwa wakipita katika mpaka wa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga aliyeigiza kuugua,  wakati wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  tarehe 13 Juni, 2019.

Baadhi ya Wataalamu wa  Afya wakimhudumia  mmoja wa wasafiri waliokuwa wakipita katika mpaka wa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga aliyeigiza kuugua,  wakati wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  tarehe 13 Juni, 2019.

Mtaalamu wa Afya akipata maelezo kutoka kwa ndugu wa  mmoja wa wasafiri waliokuwa wakipita katika mpaka wa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga aliyeigiza kuugua,  wakati wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  tarehe 13 Juni, 2019.

Mtaalamu wa Afya akinyunyizia dawa gari ambalo lilikuwa limewabeba abiria walioigiza  kuumwa wakati wakitaka kupita katika mpaka wa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga,  wakati wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  tarehe 13 Juni, 2019.

Baadhi ya Wataalamu wa Afya  katika mpaka wa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga wakivua nguo za kinga mara baada ya kuwahudumia wasafiri walioigiza kuumwa  wakati wakipita kwenye mpaka huo,  wakati wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  tarehe 13 Juni, 2019.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: