Wednesday, 19 June 2019

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WAPEWA MAFUNZO YA KUANDAA MAANDIKO YA MIRADI YA KIMKAKATI, DODOMA.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Seleman Jafo, akizungumza na wakurugenzi wa halmashauri wakati  wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuandaa maandiko ya miradi ya kimkakati, jijini Dodoma.
 
Kaimu mkuu wa Chuo cha serikali za mitaa Hombolo akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kuwajengea uwezo wakurugenzi wa halmashauri kuandaa maandiko ya miradi ya kimkakati, jijini Dodoma.
 
Mkurugenzi msaidizi idara ya serikali za mitaa, toka TAMISEMI, Anjerista Kihaga, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kuwajengea uwezo wakurugenzi wa halmashauri kuandaa maandiko ya miradi ya kimkakati, jijini Dodoma.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali, Selemani Jafo, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri baada ya kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wakurugenzi wa halmashauri namna ya kuandika maandiko ya miradi ya kimkakati, jijini Dodoma.
 
Baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri wakiwa katika kikao cha kuwajengea uwezo kuandaa maandiko ya miradi ya kimkakati, jijini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA EZEKIEL NASHON).

No comments:

Post a Comment