Friday, 14 June 2019

VIDEO: Agizo la waziri Jaffo laanza kufanyiwa kazi Arusha
Baada ya Wiki kadhaa Waziri wa TAMISENI Selemani Jaffo kufika Jijini Arusha na kutoa maagizo kuhusu Hospitali ya Wilaya ambayo ilikuwa haijakamilika Leo Mkuu wa Wilaya ,Mkurugenzi wa Jiji pamoja na watumishi wa kamati ya Afya wamefika kuanza kutekeleza agizo hilo ambapo Mkandarasi ananza Kazi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

No comments:

Post a Comment