Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Darasa la Saba 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
 Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Avemaria Semakafu akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.



Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Bibi. Odilia Joseph Mushi akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.



Kaimu Kamishna wa Elimu Tanzania, Lyabwna Mtahabwa akielezea tuzo za Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo hizo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.



Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato ya jijini Dodoma wakifuatilia hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.



Miongoni mwa wanafunzi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 tokea Shule ya Sekondari Mvumi, Erick Maximilian akipokea cheti na zawadi pesa taslimu shilingi milioni 1.5 toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.


Meneja wa Shule ya Kaizirege and Kemebos toka Bukoba,Eulogius William  akipokea cheti na tuzo toka kwa Prof. Joyce Ndalichako kutambua mchango wa Shule zilizofanya vizuri katika matokeo ya mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.

  

Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Nne mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.



Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.



Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya hafla ya Siku ya Elimu ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla hiyo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu. (Picha na: Frank Shija –MAELEZO)
Share To:

msumbanews

Post A Comment: