Wednesday, 19 June 2019

Rais Magufuli ang'ara kwenye Jarida la Forbes AfricaJarida la FORBES AFRICA laeleza mafanikio ya Rais John Pombe Magufuli, lamtaja kuwa Rais mwanamageuzi, mleta maendeleo. Afanya mahojiano maalum kueleza safari ya mageuzi Tanzania.


No comments:

Post a Comment