Saturday, 1 June 2019

Mbwana Samatta atoa misaada kwa kina mama Hospital ya Mwananyamala


Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa pamoja na Doris Mollel Foundation Leo tulibahatika wametembelea hospital ya Mwananyamala na kutoa misaada ya vitu vidogo vidogo kwa akina mama ambao waliojifungua kabla ya wakati.


"Nilifurahi kuona wakina mama wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kuniona na wengi kufurahishwa na kitendo cha mimi kupita hospitalini hapo. Lakini pia nilibahatika kupanda mti ndani ya hospital iyo," amesema Mbwana Samatta anayechezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.

No comments:

Post a Comment