Tuesday, 25 June 2019

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akijibu  hoja za Wabunge kuhusu Bajeti ya Serikali, Bungeni jijini Dodoma, Juni 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
AWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango, Bungeni jijini Dodoma, Juni 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, Bungeni jijini Dodoma, Juni 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na Naibu wake, Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) baada ya Waziri wa Fedha na Naibu wake kujibu hoja za wabunge kuhusu Bajeti ya Serikali, Bungeni jijini Dodoma, Juni 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Bungeni jijini Dodoma, Juni 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment