Thursday, 20 June 2019

MAPITIO YA MWONGOZO YAKINIFU WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI YAFANYIKA

Bw. Ronald Komanga Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uendeshaji kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, akiongelea mafanikio ya Maboresho ya Mwongozo yakinifu wa Kilimo cha umwagiliaji.

SERIKALI  kwa kushirikiana na Shirika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imefanya mapitio ya mwongozo yakinifu wa Umwagiliaji unaolenga kufanya mabadiliko na maboresho katika kilimo cha Umwagiliaji nchini.

Bw. Anthon NyarubambaniMenejaMsaidiziwaMradiwakujengauwezo (TANCAID) kutokaTumeyaTaifayaUmwagiliajiamesemahayoleoMjiniMorogoroalipokuwaakizungumzanawaandishiwahabaribaadayamkutanowakikosikaziwakupitiamwongozohuo.

Bw. Nyarubambaalisemakuwa,mwongozohuoambaoulikuweotangumwaka2010ambaoulikuwakatikamfumowakitabukikubwautaboreshwanakuwekwakatikalugharahisinarafikikwawatumiajiambaoniwataalam, wakulimanawadauwotekatikasektahiyo, ambaoutarahisishanakuonyeshamatumizisahihiyamajikatikaskimuzakilimo cha umwagiliaji.

“KablayakuwepokwaMwongozohuuwakulimawengiwalikuwawanadhanikuwakilimo cha umwagialiajinikilimochenyekutumiamajimengilakiniMwongozosasautaonyeshamatumizisahihiyamajisambambanakujengauwezokwawataalamnawakulimanchini.”AlisemaNyarubamba.

Aidha Bwana Nyarumbanaaliendeleakusemakuwa,mtuyeyoteatakayeshughulikanakilimo cha umwagiliajinchiniatatakiwakuufuatamwongozohuoambaopiautachangiaskimuzakilimo cha umwagiliajinchinikujengwakatikaubora.

Awali, Akiongea na waandishi wa Habar ibaada ya sehemu ya kwanza ya mapitio ya mwongozo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji kutokaTume ya Taifa yaUmwagiliaji Bw. Ronald Komaga amesema tangu kuwepo kwa mwongozo huo mwaka 2010 kumejitokeza changamoto kadhaa ikiwa nipamoja na kitabu cha mwongozo huokuwakikubwanasiyorafikikwawatumiaji, mwongozokutoelewekakwawadauwenginabaadhiyavipengelekutotekelezekajamboambalolimepelekeakuwanaawamuhiiyapiliyamapitionamaboreshoyamwongozohuo.

Pamoj ana changamoto hizo Bw. Komanga amesema kuwa Mwongozo wa awalipiaulitumikakatikaskimunyingizakilimo cha umwagiliajizilizopokatikamradinakuongezauzalishajihasawazao la mpunga.

Kikosikazihichochenyekufanyamapitionamaboreshoyamwongozohuowakilimo cha umwagiliajiumehusishawashirikikutokaSerikalizaMitaa, OfisizakandazaTumeyaTaifayaUmwagiliaji, nawawakilishikutoka JICA.

No comments:

Post a Comment