Sunday, 23 June 2019

MAJALIWA ASHIRIKI BONANZA NA BENKI YA NMB NA WABUNGE.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akirusha  mpira wakati lipoanzisha mechi ya mpira wa kikapu ya  Bonanza na Benki ya NMB na Wabunge kati ya timu ya Bunge na NMB kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Juni 22, 2019.


Majaliwa akikagua timu ya Mpira wa kikapu  ya Benki ya NMB ambayo ilipambana na timu ya Bunge katika mechi la Bonanza la Benki ya NMB na Bunge kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Juni 22, 2019.

No comments:

Post a Comment