Monday, 10 June 2019

Kamati Kuu ya ACT Wazalendo yateua viongozi, Maalim Seif aula

Katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili kinachoendelea jijini Dar es Salaam, Kamati Kuu ya Chama imefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa ili kuboresha safu ya uongozi wa kitaifa wa Chama.

Viongozi walioteuliwa na Kamati Kuu ni wafuatao;

A. Mshauri Mkuu wa Chama

Ndugu Maalim Seif Shariff Hamad

B. Wajumbe wa Kamati Kuu

1. Ndugu Theopista Kumwenda

2. Ndugu Mwajabu Dhahabu

3. Ndugu Fatma Fereji

4. Ndugu Eddy Riyami

C: Wenyeviti wa Kamati za Kitaifa

1. Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Miradi:

Ndugu Nassor A. Marzurui

2. Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Mawasiliano na Uenezi

Ndugu Salim A. Bimani

3. Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi

Ndugu Joram Bashange

4. Mwenyekiti wa Kamati ya Oganaizesheni, Mafunzo na Wanachama

Ndugu Mhonga Ruhwanya

5. Mwenyekiti wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji

Ndugu Ismail Jussa

D: Makatibu wa Kamati za Kitaifa

1. Katibu wa Kamati ya Oganaizesheni, Mafunzo na Wanachama

Ndugu Shaweji Mketo

2. Katibu wa Kamati ya Katiba na Sheria

Ndugu Kulthum Mchuchuli

3. Katibu wa Kamati ya Uadilifu

Ndugu Mbarala Maharagande

4. Katibu wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji

Ndugu Rachel Kimambo

No comments:

Post a Comment