Mwezeshaji wa Mafunzo ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ambukizi kati ya Binadamu na wanyama, kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Profesa, Rudovick Kazwala, akifundisha kwa vitendo namna ya kutumia Vifaa vya kitaalam vya Kinga Binafsi, wakati wa mafunzo hayo kwa wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya katika Halmashauri zilizopo mipakani, Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe.

Baadhi ya wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya kwa Halmashauri zilizopo mipakani wakiwa wamevaa vifaa vya Kitaalamu vya Kinga Binafsi, wakati wa  Mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe.

Mratibu wa Kitaifa, Dawati la Afya moja, lililopo Ofisi ya Waziri Mkuu, Harrison Chinyuka, akisisitiza  umuhimu wa sekta za Afya kushirikiana wakati wa mafunzo ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ambukizi kati ya Binadamu na wanyama kwa wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya katika Halmashauri zilizopo mipakani, Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe

Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dkt. Hezron Nonga akisisitiza  umuhimu wa kutumia Dhana ya Afya moja wakati wa mafunzo ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ambukizi kati ya Binadamu na wanyama kwa wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya katika Halmashauri zilizopo mipakani, Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe

Mwezeshaji wa Mafunzo ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ambukizi kati ya Binadamu na wanyama, kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, Niwael Mtui,  akifundisha namna ya kudhibiti magonjwa ambukizi maeneo ya mipakani wakati wa mafunzo hayo kwa wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya katika Halmashauri zilizopo mipakani, Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe.

Baadhi ya wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya katika Halmashauri zilizopo mipakani, wakiwa katika makundi ya majadiliano wakati wa mafunzo ya Kuimarisha Udhibiti wa magonjwa ambukizi kwa kutumia Dhana ya Afya moja kwa maeneo ya mipakani, Mafunzo  hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe.
 
Mwezeshaji wa Mafunzo ya kuimarisha udhibiti wa magonjwa ambukizi kati ya Binadamu na wanyama, kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Emmanuel Swai, akifundisha namna ya kudhibiti magonjwa ambukizi maeneo ya mipakani, wakati wa mafunzo hayo kwa wataalamu wa sekta za Afya  kutoka Mkoa wa Songwe na Mbeya katika Halmashauri zilizopo mipakani, Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe.

Washiriki wa Mafunzo ya Kuimarisha Udhibiti  wa  magonjwa ambukizi kati ya Binadamu na wanyama kwa kutumia Dhana ya Afya moja wakiwa katika picha ya pamoja. Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa na Kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Dawati la Kuratibu Afya moja, tarehe 29 Aprili hadi 3Mei, 2019, mkoani Songwe.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: