Saturday, 11 May 2019

Wananchi watakiwa kupuuza taarifa hii kuhusu mifuko ya Plastiki


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba 
Ofisi ya Makamu wa Rais imetoa taarifa inayowataka wananchi wote kuupuza taarifa inayosambazwa ikieleza kuwa “mifuko ya plastiki kuendelea kutumika kwa sasa” huku ikisisitiza kuwa KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI LINABAKI KUWA TAREHE 01 Juni 2019.

No comments:

Post a Comment