Waziri waNchiOfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira) Mhe. January Makamba (katikati) akizungumza na wazalishaji wa mifukombadalawaplastiki (hawapopichani). KatikakikaokilichofanyikakatikaukumbiwaKarimjeeJijini Dar es Salaam, pamojana mambo menginewazalishajihaowamifukombadalawameihakikishiaSerikalikuwawakotayarikuongezakasiyausambazajiwamifukombadalakotenchini. KushotoniMkurugenziMkuuBaraza la Taifa la HifadhinaUsimamiziwaMazingiraNchiniDkt. Samuel Gwamaka. KuliaDkt. Freddy ManyikaKaimuMkurugenzIdarayaMazingira.

SehemuyawazalishajiwamifukombdalawaplastikikutokaKampunimbalimbaliwakimsikilizaWaziri waNchiOfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira) Mhe. January Makamba (hayupopichani) katikakikaokilichofanyikakatikaukumbiwaKarimjeeJijini Dar es Salaam, pamojana mambo menginewazalishajihaowamifukombadalawameihakikishiaSerikalikuwawakotayarikuongezakasiyausambazajiwamifukombadalakotenchiniikiwaniutekelezajiwaagizo la Serikali la kusitishamatumiziyamifukoyaplastikihapanchiniifikapotarehe 1 Juni 2019.
Share To:

Post A Comment: