Monday, 20 May 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO WA SWEDEN MHE PETER ERIKKSON IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUMATATU MEI 20, 2019

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia picha ya kuchorwa Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.
Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kaatika picha ya pamoja na  Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden na ujumbe wake pamoja na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje wa baada ya kukutana na kufanya naye
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a comment