Tuesday, 14 May 2019

Picha: Waziri Mkuu azungumza na Watendaji wa Tume ya Umwagiliaji


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Watendaji wa Tume ya Umwagiliaji kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 14, 2019. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na wa tatu kulia  ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa.  Wa pili Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Umwagiliaji, Eliakim Chitutu
Baadhi ya Watendaji wa Tume ya Umwagiliaji wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 14, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga katikati ni  Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe

No comments:

Post a Comment