Saturday, 11 May 2019

Picha: Stendi ya mabasi Njombe yaanza kutumikaNa Amiri kilagalila-Njombe

Agizo la Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John pombe Magufuli,  kuanza kutumika kwa stendi ya mkoa  wa Njombe mei 10 limetekelezeka hii leo mei 11, stendi imeanza kutumika kwa magari yote huku baadhi ya maeneo ujenzi ukiendelea kukamilishwa.
No comments:

Post a Comment