Wednesday, 15 May 2019

MATUKIO MBALIMBALI KWENYE VIKAO VYA BUNGE JIJINI DODOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2019. Katikati ni Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt.  Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,  Mei 15, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment