Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela na mkewe Mhe AnnaKilango-Malecela wakiwa wamemtembelea kumjulia hali mtoto  wao William Malecela maarufu kama Le Mutuzu Super Brand aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kwa matibabu leo Jumapili Mei 5, 2019.
Share To:

Post A Comment: