Sunday, 12 May 2019

MAJALIWA AHUDHURIA IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU MWANZA.


Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akipokelewa na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Gervas Nyaisonga wakati akiwasili kwenye sherehe za kumsimika Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, Mei 12.2019.
                    
Majaliwa, akimpongeza Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, baada ya kusimikwa rasmi, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.


Majaliwa, akizungumza na waumini waliohudhuria ibada ya kumsimika Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.


Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, akitoa neno la shukrani, baada ya kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo hilo, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.


Majaliwa, akisalimiana na Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, baada ya kusimikwa rasmi, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.


Majaliwa, akitoa sadaka wakati wa ibada ya kumsimika Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.

 
PMO_0975 Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, akiwa ametulia baada ya kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo hilo, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.


Majaliwa, akiwaaga wananchi na waumini, mara baada ya ibada ya kumsimika Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, katika viwanja vya Kawekamo, Mei 12.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment