Friday, 17 May 2019

CHADEMA watembelea wagonjwa Hospitalini


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) jimbo la Tarime Mjini, Amos Sabato amewaongoza wanachama na viongozi wa chama hicho kwenda hospitali ya mji wa Tarime kuwajulia hali wagonjwa na kuwapa mahitaji muhimu ikiwa ni utaratibu wao wa kawaida katika kushirikiana na jamii.

No comments:

Post a Comment