Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekutana na kwa dharura katika kikao cha Kamati ya Utekelezaji chini ya Mwenyekiti wake, Dk. Edmund Mndolwa.

Kikao hicho kimefanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba, jijini Dar es Salaa, ambapo kitajadili masuala mbalimbali ya chama.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Siasa na Oganizesheni ya Jumuiya ya Wazazi, Chollaje Mohamed, alisema kuwa kikao hicho kipo chini ya uenyekiti wa Dk. Mndolwa.

“Bado tunaendelea na kikao, ni kako cha dharura cha kamati ya utekelezaji ya Taifa. Pindi kitakapokamilika tutatoa taarifa kamili,” alisema Chollaje


Share To:

msumbanews

Post A Comment: