Tuesday, 23 April 2019

Serikali yatolea ufafanuzi umiliki wa laini za simu zaidi ya moja

Serikali imesema imependekeza kuwepo kwa matumizi ya laini moja, mtandao mmoja lakini mtu anaweza kuwa na laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja kwa maelezo maalum. 

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye anafafanua hapo chini


No comments:

Post a Comment