Wednesday, 17 April 2019

RC Njombe akabidhi Tsh. Milioni 5 za Rais MagufuliMkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Olesendeka akikabidhi ubani wa shilingi milioni moja kwa familia tano zilizopoteza watoto wao kwa mauaji mwanzoni mwa mwaka huu.

Fedha hizo zilitolewa na Rais Magufuli wiki iliyopita alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya kuwapa rambirambi wafiwa wote ambapo kiasi cha shilingi milioni 5 kilitolewa. Watoto nane waliuawa katika sakata hilo la mauaji ambapo hadi sasa watuhumiwa saba wamekamatwa na kesi zao zinaendelea.


No comments:

Post a comment