Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe  Magufuli ameondoka nchini kwenda Malawi kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku 2. Kisha atarejea nchini na kuanza ziara ya kikazi ya siku 8 Mkoani Mbeya.




Share To:

Vukatz Blog

Post A Comment: