Wednesday, 24 April 2019

Marais wa Tanzania na Malawi watoa maagizo kwa Mawaziri waoRais wa Tanzania John Magufuli na Rais wa Malawi Prof. Arthur Mutharika watoa maagizo kwa Mawaziri wa nchi hizo ili vikwazo vya biashara viondolewe.


No comments:

Post a Comment