Thursday, 18 April 2019

Jimbo la Mbowe latikiswa tenaWenyeviti 13 wa vitongoji wanaotokana na CHADEMA, wamejiuzuli Nyadhifa zao na kujiunga na CCM.

Sababu wanayotaja ni kukubaliana na kazi kubwa za heshima zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano, na kuwa yale waliyoyataka sasa yamafanyika hivyo wanaungana na upande unaosema na kutenda.


No comments:

Post a Comment