Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa akizungumza katika hafla ya kuwapongeza wahitimu wa mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi inayotolewa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Chuo cha AALTO cha nchini Finland, iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 
Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Prof. Joseph Semboja akimkaribisha Naibu Waziri, Dkt. Mary Mwanjelwa kuzungumza na wahitimu wamafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi katikaukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 
Naibu Waziri, Dkt. Mary Mwanjelwa akimpongeza mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi, Leonce Temba baada ya kuhitimu mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: