Tuesday, 12 March 2019

ZIDANE AREJEA REAL MADRID KAMA KOCHA


 Zinedine Zidane amerejea Real Madrid kama kocha mkuu akichukua nafasi ya Santiago Solari. Zidane ambaye aliipa Madrid ubingwa wa Ulaya mara tatu mfululizo amesaini mkataba wa miaka mitatu unaomalizika mwaka 2022. Zidane aliachana na Madrid Mei 31, 2018.

No comments:

Post a Comment