Wednesday, 27 March 2019

WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAFURAHIA USHINDI WA TAIFA STARS DHIDI YA UGANDA THE CRANES

Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakishangilia ushindi wa Taifa Stars dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda The Cranes ambapo ilifungwa magoli 3-0 jijini Dar es Salaam na kufanikiwa Taifa Stars kusonga mbele katika fainali za mashindano ya AFCON yatakayofanyika nchini Misri.
-- Cathbert Angelo Kajuna, Founder and Mananging Director Kajunason Blog, P.O Box 6482, Dar es Salaam. Tel: +255 787 999 774 Alt: +255 765 253 445 *www.kajunason.com * *"Everything is Possible Through Peace & Stability''*

No comments:

Post a Comment