Tuesday, 5 March 2019

WAFANYAKAZI BENKI YA NMB WALIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2019

91882732-52f8-4d29-9104-6da5b2b8648b
Sehemu ya wanariadha walioshiriki mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro wakiwa katika picha ya kumbukumbu.
1JPG
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikimbia mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon 2019 Kilomita 21, zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro. 2%2B%252831%2529
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikimbia mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon 2019 Kilomita 21, zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro. da785f11-d57e-4ac3-be03-8afdeee0b9e9
89243857-2ade-490b-b445-0e34af1720aa
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia Medali walizokabidhiwa baada ya kushiriki na kumaliza mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro. f7c701da-5d87-470b-97d5-ecf46b007dbf
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia Medali walizokabidhiwa baada ya kushiriki na kumaliza mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon Kilomita 21 zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro.

No comments:

Post a Comment