TAARIFA KUTOKA TANESCO - MSUMBA NEWS BLOG

Friday, 8 March 2019

TAARIFA KUTOKA TANESCO

*SHIRIKA LA  UMEME TANZANIA  (TANESCO)*

*TAARIFA KWA WATEJA WETU WA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA*

*Machi 9, 2018*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kwa katizo la umeme lililotokea leo Machi 9, 2019 majira ya Saa 3:34 Asubuhi.

*SABABU* Ni hitilafu iliyotokea katika mfumo wa njia zetu za kusafirishia umeme.

Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka.

 Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro na Zanzibar haikuathirika na tatizo hilo.

*Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza*

Tovuti: www.tanesco.co.tz

*Mitandao ya kijamii*

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

 Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

*IMETOLEWA NA:*

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done