Thursday, 7 March 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME IKULU JIJINI DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya mazungumzo na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment