Thursday, 7 March 2019

MAJALIWA AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapindunzi  ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Machi 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Machi 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment