Wednesday, 27 March 2019

Mkutano wa ACT-Wazalendo wavamiwa


Inaelezwa kuwa Polisi wamevamia mkutano wa ndani wa viongozi wa ACT-Wazalendo na Wanachama wa Mkoa wa Dar es salaam uliokuwa ukitarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa PR Stadium (Karibu na Uwanja wa Taifa).

Taarifa kutoka kwa Katibu Mwenezi wa Chama hicho, Ado Shaibu amesema kwamba polisi wanawalazimisha watu kutawanyika katika ukumbi huo

No comments:

Post a comment