Tuesday, 19 March 2019

MAJALIWA AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua   Benki ya Mendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.  Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Rosebud Kwiruja  na wapili kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo baada ya kufungua  Benki ya Maendeleo ya Kilimo  Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.  Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Rosebud Kwiruja na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua  Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB)  Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania(TADB) Kanda ya Ziwa lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment