Tuesday, 12 March 2019

HOTEL YA KITALII YA ILBORU SAFARI LODGE YAWAKA MOTO

Hoteli ya Kitalii ya Ilboru Safari Lodge, iliyopo Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru mkoani Arusha imewaka moto ambapo vyumba vitatu vya kulala, jiko na eneo la kulia chakula vimeteketea.
Jeshi la Zimamoto kwa kushirikiana na wananchi wamefanikiwa kuzima moto huo usiendelee kuwaka kwenye nyumba nyingine hotelini hapo.
Hatahivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana .
Endelea kutembelea mtandao wetu wa Msumbanews kwa habari kamili juu ya tukio hili.

No comments:

Post a Comment