Wednesday, 7 November 2018

Utani wa Mbunge Mollel wa Siha na Mbowe Bungeni


Mbunge wa Jimbo  la Siha Dr.Godwin Mollel leo ameamua kufanya utani wa kibabe Bungeni kwa  kumkaimu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mbowe kwa kuamua kuketi katika kiti chake  baada ya wabunge wa hao wa Upinzani kutoka nje wakisusia wakati wakiapishwa wabunge wapya wa chama cha Mapinduzi.

No comments:

Post a comment