Mtayarishaji kutoka tasnia ya Bongo Fleva, Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Dully Sykes na Hermy B za B Hit’z amefariki jioni ya leo Jumanne Oktoba 9,2018 kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es Salaam.

Chanzo cha kifo chake kimetajwa kwenye taarifa za awali kuwa ni kuzama kwenye maji kwenye kisiwa cha Mbudya
Share To:

Anonymous

Post A Comment: