Pichani ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Cha Mapinduzi Ndugu Kheri Denis James akikabidhi hiyo kwa Mheshimiwa Azza Hilal Hamad (kushoto) wakati wa ziara yake katika wilaya ya Shinyanga Septemba 26,2018.


Umoja wa Vijana wa Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Shinyanga Vijijini kimemtunuku hati maalum ya pongezi Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal Hamad kwa uongozi bora na wa mfano uliotukuka,kuunganisha na kuimarisha mshikamano ndani ya Chama Cha Mapinduzi,usimamizi wa vitendo katika utekelezaji wa wa Ilani ya CCM pamoja na ufadhili wa hali na mali kwa chama na jumuiya zake. 

Share To:

msumbanews

Post A Comment: